Dalili za kuliwa mbususu kimasiharaHabari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea[emoji120]
Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..[emoji848][emoji848]
Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao[emoji4]mida ya kuondoka bhana mkaka mmoja hivi (ninafahamiana nae)akaniambia Chakorii huwezi kuondoka kabla sijakuhug ohooo[emoji7][emoji7][emoji7]si akanihug bhna [emoji2296][emoji2296][emoji2296]Harufu aliyoniachia ilinikosesha usingizi jamani[emoji18]mwamba alikuwa ananukia vizuri mamaaaa(aliustua mtima wangu wallahi).
Nikajidai mjeuri kuipotezea harufu yake[emoji18][emoji18]juzi tena bwana kumbe anasafiri(karoho kakaniuma kwa mbali kusikia anasafiri)akanihug tena mara Ohoo take good care of your self Chakorii please [emoji22][emoji22]akaniachia tena harufu ya perfume yake (nyie huyu mjinga ataniuwa kwa hii harufu mjue[emoji1787][emoji1787])
Wapenzi wasomaji tangu juzi mpka sasa perfume bado inazunguka puani hakyamama tena siwafichi[emoji3166]
Taarifa ya kuhuzunisha ni kwamba siijui jina na mwamba hayupo tena[emoji30][emoji30][emoji30]
Bwana asimame vinginevyo hii harufu ya perfume itaenda kuishi katikati ya moyo wangu wallahi nawaambia [emoji3525]
Unahitaji maombi, hizi genye ni za kiwango cha SGR!Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea🙏
Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..🤔🤔
Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao😊mida ya kuondoka bhana mkaka mmoja hivi (ninafahamiana nae)akaniambia Chakorii huwezi kuondoka kabla sijakuhug ohooo😍😍😍si akanihug bhna 🙆♀️🙆♀️🙆♀️Harufu aliyoniachia ilinikosesha usingizi jamani😌mwamba alikuwa ananukia vizuri mamaaaa(aliustua mtima wangu wallahi).
Nikajidai mjeuri kuipotezea harufu yake😌😌juzi tena bwana kumbe anasafiri(karoho kakaniuma kwa mbali kusikia anasafiri)akanihug tena mara Ohoo take good care of your self Chakorii please 😢😢akaniachia tena harufu ya perfume yake (nyie huyu mjinga ataniuwa kwa hii harufu mjue🤣🤣)
Wapenzi wasomaji tangu juzi mpka sasa perfume bado inazunguka puani hakyamama tena siwafichi🧐
Taarifa ya kuhuzunisha ni kwamba siijui jina na mwamba hayupo tena😩😩😩
Bwana asimame vinginevyo hii harufu ya perfume itaenda kuishi katikati ya moyo wangu wallahi nawaambia ☹️
Shemeji wa kienyeji kwa bahati mbaya huyu mwamba si mtz🙁Kumbe uliipenda harufu ya perfume yangu[emoji1]
Nilifanya makusudi kukuaga kwa kukukumbatia
Hujambo shemeji yangu wa kienyeji
Long time no see Chakorii
Ndotoni humuoti?Au labda nilikutana na jini na sijui[emoji2957][emoji2957]
Hakuna kuliwa kimasihara hicho ndicho ninachoamini.financial services ulisema ule uzi unawasaidia kuepuka kuliwa kimasihara?
Haya mwenzio huku bado kidooogooo tutaona manyoya yakipepea tuu[emoji1018]
Soon njoo upakwe mafuta ya upako kutokwa kwa Nabii Mwamposa!Weeeee usiniambie basta
Kwani mimi ni Mtz?[emoji1]Shemeji wa kienyeji kwa bahati mbaya huyu mwamba si mtz[emoji853]
Sijambo shemeji yangu wa kienyeji.mambo yanaenda lakini?
Mambo yanabana kiaina wa kienyeji
Aliokwambia mafuta ya nazi yanaondoa mapepo ni nani? Kiboko ya pepo ni mafuta ya mzaituni tuNinamafuta ya nazi ndani nitayabariki mwenyewe man kujipaka