Mwiba JF-Expert Member Oct 23, 2007 7,607 1,749 Nov 11, 2010 #1 Yaani we wacha tu !! Wanasema harufu ya mwili inazidisha mavalangati ya majamboz ,vipi hii ni kweli ?
Yaani we wacha tu !! Wanasema harufu ya mwili inazidisha mavalangati ya majamboz ,vipi hii ni kweli ?
Mwiba JF-Expert Member Oct 23, 2007 7,607 1,749 Nov 11, 2010 Thread starter #3 Nyani Ngabu said: Kweli na hapana.... Click to expand... Sasa hii harufu inakuwa ni ile ya jasho au ? Ni kitu natural ?
Nyani Ngabu said: Kweli na hapana.... Click to expand... Sasa hii harufu inakuwa ni ile ya jasho au ? Ni kitu natural ?
F Ferds JF-Expert Member Oct 27, 2010 1,263 191 Nov 11, 2010 #4 Mwiba said: Yaani we wacha tu !! Wanasema harufu ya mwili inazidisha mavalangati ya majamboz ,vipi hii ni kweli ? Click to expand... ikiwa nzuri ndio, ya kikwapa hapana
Mwiba said: Yaani we wacha tu !! Wanasema harufu ya mwili inazidisha mavalangati ya majamboz ,vipi hii ni kweli ? Click to expand... ikiwa nzuri ndio, ya kikwapa hapana
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 94,128 121,808 Nov 11, 2010 #5 Mwiba said: Sasa hii harufu inakuwa ni ile ya jasho au ? Ni kitu natural ? Click to expand... Inakuwa ni ya mseto wa vitu mbalimbali vikiwemo jasho, kemikali za mwili, mdomo, n.k.
Mwiba said: Sasa hii harufu inakuwa ni ile ya jasho au ? Ni kitu natural ? Click to expand... Inakuwa ni ya mseto wa vitu mbalimbali vikiwemo jasho, kemikali za mwili, mdomo, n.k.
Mwiba JF-Expert Member Oct 23, 2007 7,607 1,749 Nov 11, 2010 Thread starter #6 Nyani Ngabu said: Inakuwa ni ya mseto wa vitu mbalimbali vikiwemo jasho, kemikali za mwili, mdomo, n.k. Click to expand... Sasa ndio hizo zinaleta stimu ?
Nyani Ngabu said: Inakuwa ni ya mseto wa vitu mbalimbali vikiwemo jasho, kemikali za mwili, mdomo, n.k. Click to expand... Sasa ndio hizo zinaleta stimu ?
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 94,128 121,808 Nov 11, 2010 #7 Mwiba said: Sasa ndio hizo zinaleta stimu ? Click to expand... Oh yeah...watu tumetofautiana bana.....
Mwiba said: Sasa ndio hizo zinaleta stimu ? Click to expand... Oh yeah...watu tumetofautiana bana.....