Harufu ya kiume inanitia hamu

mtafute GWAJIMA
 
kunajamaa alikuwa anatembea na vimavi kwenye kasha la kiberiti, nadhan alikuwa anapenda harafu ya vimavi sijui
 
mie kati ya vyote nimejiuliz ainamaana ilo pozi lako kwenye avatar bado halijakusaidia tuu??
jaman where is Erotica ??

angeweza kukuelezea vzr zaid nafkir mimba ya mapacha ilimmaliza kila kitu

Yupo mbona humu
 
Last edited by a moderator:
Wewe Unabahati, Watu Wanalipia Stim Wewe Bulebule Tu! Aisee.
 

Umekuja kusaka wateja humu ee, utawapata tu
 

mimi ndo dawa ni pm
 
Jaman msaada ...nimezamisha kaz ya crdb hapa bugurun...pesa haikutoka ...sina hata mia mfukuna ndinga mafuta haina imezima relin....nifanyeje ...
 

Kwanini usijiepushe na tabia za kukumbatiana kujiweka kando na hii hali? Unaonekana una tatizo ambalo kitaalamu halijapatiwa jina bado ambalo dalili zake ni kutamani kukumbatiwa muda wote na pia kufurahishwa na picha za makumbatio kama ulivyoziweka kwenye Avatar yako!
 
Jaman msaada ...nimezamisha kaz ya crdb hapa bugurun...pesa haikutoka ...sina hata mia mfukuna ndinga mafuta haina imezima relin....nifanyeje ...

Kama umeizamisha mtoni,uliza wenyeji wa hapo uelekeo wa maji na ukumbuke mwendokasi wa maji baada ya kuzamisha kadi kisha chukua boda boda ikuwahishe faster Jangwani pale ukaisubiri hapo na nyavu za uvuvi ili uivue!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…