Harufu mbaya ya kinywa na mwili kwa ujumla inavyopunguza raha ya mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harufu mbaya ya kinywa na mwili kwa ujumla inavyopunguza raha ya mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dumelambegu, Feb 4, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wandugu wapenzi forum hii,
  Imefika mahali naona bora niseme wazi. Binafsi ninakerwa sana na harufu mbaya ya mdomoni. Imefikia stage hata 'kick' ya mapenzi inapotea kwa sababu tu mwenzangu ananuka kinywa chake. Mwezi mmoja uliopita nilikutana na mrembo mmoja. She was very beatiful and 'inviting'. When we exchanged some few words, I suddenly falled in love with her though I came to know latter that she was a prostitute. But that was too late as I had already shared lover with her. Sasa, kilichoniumiza na ndicho kilichopelekea nipost thread hii, ni harufu yake mbaya ya kinywani. Najua kwa mtu mzima siyo rahisi kutoa hewa kinywani ambayo ni freshi by 100%. But for her, it was beyind limit. It was extremely disturbing. Mbaya zaidi, ni kuwa midomo yake aliipaka rangi ya kuvutia na mwanaume yeyote angetamani ambusu lakini ilibidi nikwepeshe mdomo wangu. So, the whole exercise lost its meaning. I really regret myself for being so lose when I came across her. Indeed, it was a lesson and my conclusion was that 'siyo vyote ving'aavyo ni dhahabu'. Sorry dearest mothers and sisters for being so open. I am just sharing something that I feel it can improve our sexual relationship.

  Kisa changu kinazungumzia mwanamke lakini ni ukweli usiopingika kwamba kwa ujumla wanaume ndiyo rafu zaidi katika suala zima la usafi. Wanaume ndiyo wanaounuka zaidi ukilinganisha na partners wao, wasichana. Wanaume ndio wanaovuta sigara, ndio wanaoongoza kwa kunywa mataputapu. Wanaume hao hao wakirudi nyumbani na harufu za mataputapu na wanalazimisha 'denda' kwa wake zao!!!

  Mwisho, wengi wetu tunajitetea kuwa harufu mbaya ya kinywa na mwili kwa ujumla, ni suala la maumbile. Pamoja na ukweli huo, tukizingatia mambo yafuatayo tunaweza kupunguza harufu mbaya:

  (1) Tusafishe (siyo kupiga mswaki) kinywa vizuri kwa kutumia dawa bora kila tunapomaliza kula chakula aina yoyote ile ikiwa ni pamoja matunda na vinywaji hasa vyenye sukari nyingi. Kama upo mahali ambapo huna mswaki na dawa, basi tumia maji freshi kusukutua kinywa kwa nguvu ili kuondoa vipande vya chakula kinywani.

  (2) Ukiwa nyumbani, tumia maji yenye chumvi kiasi kusukutua kwa mara ya mwisho baada ya kutumia mswaki wako. Chumvi ni adui wa bacteria.

  (3) Safisha kinywa intensively kabla ya kwenda kulala baada ya chakula cha jioni. Asubuhi yake nayo safisha kinywa baada ya kupata kifungua kinywa.

  (4) Usikae muda mrefu bila kuongea. Lakini ongea kwa sababu unacho cha kuongea na siyo kwa sababu unatakiwa kuongea.

  (6) Hakikisha mwili wako kwa ujumla unakuwa msafi wakati wowote.
   
 2. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mzee, polea kwa kula mrembo ambaye hajakamilika. Mbona hujamaliza stori uliachana nae siku hiyo hiyo au bado unae? Lakini duu, kwa upande wa sisi akina baba, mzee umetuumbua kweli kweli. Mimi na mamsap wangu huwa tunaambiana kwamba leo unanuka kinywa. Tupo huru ku share mambo yote.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole sana best!
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni kweli suala la harufu mbaya ya kinywa nami huwa linanipunguzia raha ya mapenzi. Mimi najisikia vibaya nikihisi harufu ya kinywa changu ni mbaya. Nikigundua hivyo huwa nachukua hatua haraka sana. Aksante kwa tips za usafi wa kinywa. Sikuwa nafahamu kama chumvi inasaidia.
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Pole sana kiongozi kwa yaliyokukuta,
  sasa sijui ulikuwa umeshakula denda kwa huyo binti,
  ndo ukaja kugundua hayo ya kunuka mdomo au la!!!!!

  Asante kwa hizo tips za usafi,
  ingawa si mdomo tu, bali hata vikwapa na sehemu za siri,
  nazo kuna baadhi yua watu daima huwa wanatoa harufu huko,
  sina hakika kama ni maumbile yao jinsi walivyo au,
  ni kutokuwa wasafi!!!!!!!
   
 6. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duh!pole mzee,usafi ni kitu cha kuzingatia sana
   
 7. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Pole sana na tunashukuru kwa tips za usafi wa kinywa. Ila naomba umwambie huyo dada ukweli hata kwa msg tu kwamba kinywa chako kinanuka ili atafute jinsi ya kumaliza hilo tatizo inawezekana yeye hajijui so msaidie mwambie ukweli hata kama umemuacha.
   
 8. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nachukia hrufu mbaya kuliko kitu chochote, hasa inayotokana na uchafu wa mtu(Kinywa na mwili) Usafi ni ustarabu sana!
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh aya asante
   
 10. P

  Pomole JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inakera sio tu majambozini hata ktk daladala unakuta janaume limevaa singlet linatoa harufu kama BEBERU BORA la idara ya mifugo(la kupelekwa nanenane).sijui wao hawasikii.Duu kichefuchefu
   
 11. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka angu siku hizi kama kuna kitu kinakukera cha mpenzi wako inabidi umwambie tu ajirekebishe. unajua usafi wa kinywa wengi bado hawaujui. sidhani kama ungemwambia apige mswaki ulimi wake vizuri kama ungeisikia hiyo harufu. Mwambie apige brash ulimi mpaka karibu na koo. sometimes mpaka unahic kutapika, ili kuondoa miugali na michakula mingine iliyonasa kwenye ulimi.watu wengi wamekuwa wakipiga mswaki meno tu na fizi wakidhani wamemaliza kumbe shughuli yote ni ulimi. lol
   
 12. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama jino limetoboka linakuwa na harufu mbaya, kwa utaratibu jaribu kumwelimisha kuwa akacheki kinywa kwa dentist. Inawezekana ndo linaleta hiyo harufu kali.
   
 13. A

  Anold JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Maeneo mengine yanayotoa harufu ni masikioni pamoja na puani aidha baadhi ya mafuta ambayo wanawake huyatumia kupaka kwenye nywele zao hutoa harufu mbaya yanapokuwa yameunguzwa na jua au kunyeshewa na mvua kichwani, hivi vyote hudhoofisha sana mazingira ya mapenzi. Hivyo usijeukashangaa mtu unayemwamini akikupiga chenga ili kujiepusha na adha hiyo, mbaya sana ni kuwa wengi hawajitambui kuwa wanatatizo la kunuka pia wapenzi wengi hawana ujasiri wa kuelezana ishu kama hizo maana zinaweza kuvunja hata huo uhusiano.
   
 14. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :coffee:


  hahahah thanks,u made my day...
   
 15. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa,

  hakuna kitu kinachoboa kama kuwa na mtu anaeyenuka mdomo. Lakini pia watu wengi sana hawajua kwanini midomo yao inanuka.

  Watu huwa hawasugui ulimi wakati wa kupiga mswaki. Watu wengi husugua meno tu na sio Ulimi. Ulimi ndio unaoleta harufu mbaya sana mdomoni kwa kweli...! Usiposugua ulimi hata kama umesugua meno kiasi gani bado harufu itabakia...!

  Ni muhimu sana tukasugua ulimi vizuri kwa kutumia mswaki wakati wa kupiga mswaki asubuhi na jioni kabla ya kulala...!
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Du kweli mdomo ukinuka ni soo, halafu wengi wetu hatujui kukiss mtu utaona anatoa liulimi looote nje kumpelekea mwenzake lol! utafikiri yuko kwa daktari anachunguzwa koo, sasa hapo kama liulimi halijasafishwa!!!!!!!!!! unaweza dhani gari la maji taka limewasili maeneo hayo. Ila pia kama mtu ana jino bovu hiyo lazima litatoa harufu tu, na wengine ndivyo walivyo harufu ile inatokea tumboni kabisa
   
 17. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  umesema huyo aloikuwa ni prostitute wakati huo huo unajuta kwa kukosa busu lake, je bado unasikitika kwa kukosa hilo denda lake?
  baada ya hapo ulikwenda kupima ulipogundua kuwa mwenzako ni CD?
  maisha ni mazuri sana lakini yanahitaji kuwa mwangalifu sana, sio kila kinachopita ni kizuri.
  by the way thanks for ur useful post encouraging on dental/oral cleanness
   
 18. K

  KONDOO Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mzee kwa hints za kusafisha kinywa, lakini pamoja hayo je ulitumia kondomu kwa huyu prostitute wake? Mwaga ladhi hapa!
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nipo makini sana mzee. In fact, huyo demu nimemuacha kabisa.
   
Loading...