Harufu mbaya toka tumboni

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Tatizo hili kitaalam tunaita Halitosis linawasibu wengi bila kujua

Tiba
Chukua baking soda (bicarbonate) kijiko kimoja kikubwa, limao 1 au ndim changanya na maji kikombe kimoja
kunywa kila siku asubuhi kabla hujala chochote, tumia kwa siku saba. Lamba nyuma ya kiganja chako na unuse ili kujua kama una tatizo hili

bila kusahau kupangisha/kuuza na mahitaji ya nyumba, vyumba ,viwanja ,beach n.k kigamboni piga sim 0718295182
 
Daktari halafu dalali..kweli utawala huu wa magufuli tukisema tukomae na taaluma zetu tu tumekwisha!
 
Back
Top Bottom