Harry's Law: Mauaji ya Albino Tanzania

Harry's Law: Mauaji ya Albino Tanzania

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2009
Posts
4,065
Reaction score
651
Kuna mtu yoyote alifanikiwa kuona episode titled American Dreams kutoka kwenye show ya Harry's Law (NBC-USA) iliyokuwa inazungumzia mauji ya albinos hapa Tanzania? Since walimweka msemaji(muigizaji) wa ubalozi wa Tanzania USA, serikali yetu ilikuwa contacted kwa ajili ya verification na corroboration ya baadhi ya matukio yanayotajwa kwenye hiyo episode?

Plot Summary
Harry and Tommy work together to help a group of albino illegal immigrants facing deportation to Tanzania, where albinos are at times hunted.

Sample

 
Back
Top Bottom