Harry aharibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harry aharibu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by popiexo, Mar 5, 2011.

 1. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe,

  akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamume amesimama

  kitandani.

  "Toka hapa! Nani wewe unakuja kitandani kwangu?"

  "Mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni"

  "Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."

  "Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe kama mbwa au kuku"

  Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, "Bora nirudi kama kuku"

  Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawakamoto.
  Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.

  "Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"

  "Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.

  "Sijawahi"

  "Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."

  Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo !

  Akiwa anataka kukamua yai la tatu, akasikia sauti ya mke wake.

  "Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"

   
Loading...