Harrier new model 2021 0 KM ni bei gani?

Harrier new model 2021 0 KM ni bei gani?

sipati picha, unanunua huyo mdudu kwa 150ml, unakuja nayo bongo, bajaj inakukwangua unashuka kwa hasira unamwangalia dogo mwenyewe maskini hana hela na bajaj wala sio yake, ya tajiri au day waka kwa mwingine anayepeleka malengo kwa tajiri, kifupi hana uwezo wowote wa kununua hata taa tu au hata kupaka rangi.....

wewe kwa hapa bongo, nunua gari yeyote tu alimradi inatembea kukufikisha unapoenda basi. mengine ugonjwa wa moyo.
Kwani hizo gari nyingine zozote hazigongwi na Bajaj? Kila mtu anaunua gari kutokana na uwezo wake mfukoni.
 
Back
Top Bottom