Harrier new model 2021 0 KM ni bei gani?

Harrier new model 2021 0 KM ni bei gani?

Used kaka Harrier ya 2017
Screenshot_20210722-201827_Chrome.jpg
 
sipati picha, unanunua huyo mdudu kwa 150ml, unakuja nayo bongo, bajaj inakukwangua unashuka kwa hasira unamwangalia dogo mwenyewe maskini hana hela na bajaj wala sio yake, ya tajiri au day waka kwa mwingine anayepeleka malengo kwa tajiri, kifupi hana uwezo wowote wa kununua hata taa tu au hata kupaka rangi.....

wewe kwa hapa bongo, nunua gari yeyote tu alimradi inatembea kukufikisha unapoenda basi. mengine ugonjwa wa moyo.
Kuna bodaboda mmoja nilikuta anasema akikutana na Rose Royce ya Diamond anaigonga apate umaarufu
 
Back
Top Bottom