Harmorappa arudi upya

Felix King Zaman

Senior Member
Aug 6, 2016
125
117
Jana katikati homecoming ya Ali Kiba Harmorappa alitua JK Nyerere na chama lake kumkaribisha Ali Kiba nyumbani...Huku amechapia tishet ya KIBA ADDICT aliweka wazi kuwa yupo hapo sio kwa team Ila kwa kuwassupport wasaniii wenzake ambao wanafanya vizul
 
Bodyguard wake kamchukua kama kapata ya uwepo wa vilipuzi eneo Hilo.
Siajabu alikuwa anawahi camera nyingine hihihihiii
 
Meneja wake na team yake nimewakubari, laiti kama angekuwa anafanya mziki mzuri angefika mbali..
 
Back
Top Bottom