Ule mwendelezo wa kuendelea kuzichanga karata zake vyema (wengine wanaita kutafuta kiki), safari hii atembelea ofisi za HabariLeo na Daily News katika kile kinachoitwa kuvitembelea vyombo vya habari...
Hakuna binadamu mbaya! Upuuzi wa kibinadamu tu ndiyo unatufanya tunajibagua! Allah katuumba vyema SANA.
Btw Harmorapa anafanana na Baloteli! Keep doing your things Harmorapa!