Ule mwendelezo wa kuendelea kuzichanga karata zake vyema (wengine wanaita kutafuta kiki), safari hii atembelea ofisi za HabariLeo na Daily News katika kile kinachoitwa kuvitembelea vyombo vya habari...
Kwa maisha yalivyo magumu dogo apewe saport tu maana wengi wameitia njia ya kiki za madem na wametusua ssa yy anapita njia yake kiki ya harakat flan watu wanalijua hili ndo maana wanampenda [HASHTAG]#harmobolt[/HASHTAG] [HASHTAG]#harmoflash[/HASHTAG]