Hawezi kudumu kwenye spot light kwa maana yani u star wake haujaletwa na kazi yake ya mziki.
Yani drama zake zimemfanya amekuwa na jina kubwa kuliko mziki wake na watu wengi wanamjua lakini hawajua hata wimbo wake.
Mtu ambaye ameweza mantain kwa drama ni wema sepetu sijui kama hamo ataweza maana siyo muda mrefu watu watachoka hizi drama unless zingekuwa zinaenda sambamba na kazi.