Hahaha Kwa hiyo na nyie MNAAMINI hizi story za uzushi... Sio kweli jamaa Anatafuta tu kick muwage mnashirikisha akili kwanza na kujua ukweli ili muweze ku judge realities and truth
Hapa yuko na bonge la demu mimi, wewe na WCBOO tutaishia kulike picha.
Hapa yupo na Bill Nas, Harmorapa akaiweka Insta, Bill Nas kwa ubishoo wake kaona picha imepigwa kwa kamera ya galaxy s3 hajaiweka IG. Mabishoo washazoea photoshoot nini si unajua....