miss charming JF-Expert Member Dec 3, 2016 910 905 Feb 23, 2017 #3 Sikosoi uumbaji wa Mungu lakini huyu kaka anatia kinyaaa
W wise-comedian JF-Expert Member Aug 4, 2011 3,293 3,945 Feb 23, 2017 #4 Akitaka kiki zaidi achukue kadi ya CDM na wema
avogadro JF-Expert Member Apr 30, 2013 7,861 14,029 Feb 23, 2017 #5 Yaani huyu hana hata chembe ya kuitwa mwimbaji
varangati JF-Expert Member Feb 14, 2017 1,726 1,627 Feb 23, 2017 #6 Duh anaimba kama anajistukia vilee
jmapunda JF-Expert Member Jul 9, 2015 731 2,923 Feb 23, 2017 #7 Hivi nani yupo nyuma ya hizi promo za huyu jamaa?Na ni kwa malengo gani?Any way ngoja tusubirie muziki wake.
Hivi nani yupo nyuma ya hizi promo za huyu jamaa?Na ni kwa malengo gani?Any way ngoja tusubirie muziki wake.
Mr.Wenger JF-Expert Member Nov 20, 2014 2,558 6,091 Feb 23, 2017 #8 Dah Kiba ajipange, Hamorapa anakuja kumfunika
FENtastic JF-Expert Member Aug 4, 2015 6,779 10,542 Feb 23, 2017 #11 Haaaa hizi si dharau kwa sisi wakongwe wa muziki.
kalagabaho JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,460 5,884 Feb 24, 2017 #12 Ha ha haa...HARMO THE RAPPER HIMSELF sijui kaimba nini hapo masikini ya mungu
chenjichenji JF-Expert Member Jul 18, 2013 1,767 3,508 Feb 24, 2017 #13 kalagabaho said: Ha ha haa...HARMO THE RAPPER HIMSELF sijui kaimba nini hapo masikini ya mungu Click to expand... Nahisi jamaa itakuwa "february" f'lani hivi...
kalagabaho said: Ha ha haa...HARMO THE RAPPER HIMSELF sijui kaimba nini hapo masikini ya mungu Click to expand... Nahisi jamaa itakuwa "february" f'lani hivi...
Kazwala mkuu JF-Expert Member Jul 2, 2016 1,034 2,249 Feb 24, 2017 #14 Dah! Kumbe dishi limeyumba maskini!
Kim Jong Jr JF-Expert Member Mar 15, 2014 10,986 20,401 Feb 24, 2017 #15 Mose Iyobo alitutangulia kumjua huyu jamaa... Samahan mose iyobo nilikuongelea vibaya
Joowzey JF-Expert Member Nov 13, 2015 13,166 13,502 Feb 24, 2017 #17 miss charming said: Sikosoi uumbaji wa Mungu lakini huyu kaka anatia kinyaaa Click to expand... Exactly!!! Yes of course!!!
miss charming said: Sikosoi uumbaji wa Mungu lakini huyu kaka anatia kinyaaa Click to expand... Exactly!!! Yes of course!!!
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,495 70,611 Feb 24, 2017 #18 usitoe pasi ndio hit song yake
kibhopile JF-Expert Member Aug 5, 2010 1,508 762 Feb 24, 2017 #20 anajaribu kufanya nini? nielewesheni