Mkuu umetumia ujuzi mkubwa sana kuelezea haya uliyoelezea...lakini umesahau alichofanya Vanny ni kutafuta kiki na alifanya hivyo ili kumchanganya Harmo (japo sidhani kama ni kwa matakwa yake) yes Harmo ameshachanganyikiwa sasa hizi kelele zinatoka wapi?
Unapomfanyia provocation mtu jiandae kwa lolote ndugu,usimpangie silaha ya kutumia sababu anakua out of control...nimemsikiliza jana Harmo kwenye Empire kuhusu hayo mambo,ni ujinga tu unaendelea kwenye sanaa kwa sasa.