Upo shallow Sana kwenye kujibu hoja level yako ya elimu sijui Ni ipi?Yani akitambulishwa msanii mpya na label flani msanii mwingine wa hiyo label anapaswa kusitisha shuhuli zake??
Yani Harmonize asitishe kupush album yake kwasababu Ibarh katoa EP yake???
innocent dependent Konde Music World wide ni ofisi na ina wasanii wawili na kila msanii ana budget yake na project zake ambazo hazina mahusiano na mwenzake as kila mmoja ana account zake.
hahahah yani ili kuharibu mjadala ina bidi uni-attack mimi personally (eti nipo shallow)Upo shallow Sana kwenye kujibu hoja level yako ya elimu sijui Ni ipi?
Mtoa mada kinachomsumbua ni Wivu, kuona Harmonize hachuji wala hapotei toka atoke huko Wcb
Jamaa kashindwa kujibu hoja kwa hoja kwa sababu hili andiko siyo lale kacopy na kupachika..hahahah yani ili kuharibu mjadala ina bidi uni-attack mimi personally (eti nipo shallow)
Haya wewe ni genius.
Huu upupu kawadanganye kijijini kwenu huko.. Wasikojua chochete kuhusu harmonize na WcbHarmonize nazikubali sana nyimbo zake jamani, yani toka yuko wcb ni msanii ambae i cnt wait kusikia nyimbo zake, hata sasa bado naukubali mziki wake mana ushabiki maandazi siwezi, kwangu mimi its all abt good music. But.
Namuona anahangaika saaana, kwanza its like survival yake inategemea kumuiga mond, pili anatumia kingi kuliko anachoingiza hiyo yote apate ku prove a point kwamba naweza, alafu ile tabia yake ya kujinyenyekeza kinafki na kutafuta tafuta huruma za jamii inanikera ile mbaya, na kujifanya wa hekima sana kumbe nyuma ya pazia he is just another ungrateful maskini akipata.
Halafu kitu ambacho watu hawakijui, watu wanazani harmonize ndo alianza kutaka kujitoa wcb lakini ukweli ni kwamba waliitilafiana na mond so uongozi wakaamua kumuondoa, yeye harmonize akajitahidi kuondoa ile tofauti ili aendelee kubaki wacb mpaka kwenda kuongea na mama diamond lakini Diamond alikataa katakata ndo mwisho wa yote ikabidi akubali kwamba inabidi atoke na kuanza kujionyesha kwamba anataka kutoka lakini ni kwamba ilikuwa atolewe
Hahaha kisu in butu na kina kutu ila kimegonga mfupa...Kama yeye ni bingwa wa kurudisha wasanii kwenye ramani amrudishe H-Baba[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app