🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii ndio ID yako ndugu Harmonize?
Wamakonde wanazingua sana[emoji23]Hata zumaridi ni king mbona
Wamakonde na jf
Mmakonde kwenye ubora wako 🤣Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa.
Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa, hii playlist yake hapa chini itakufanya usuuzike moyo:
1. Single Again
2. Wote
3. Leave Me Alone ft Abby Chams
4. Amelowa
5. Jeshi
6. Deka ft Mabantu
Na nyingine nyingi.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, kuwa na nyimbo zaidi ya 5 currently zinazohit zote siyo kazi ya kitoto hata kidogo.
Uzuri nyimbo zake zina maadili, unaweza kusikiliza hata na mama mkwe sebuleni kwako(kasoro "Amelowa").
View attachment 2569770View attachment 2569771View attachment 2569772View attachment 2569773View attachment 2569774View attachment 2569776View attachment 2569778
Jeupega mwanau wenyekwile chakunoa chichitutile mwanau liduva lipamba ukakulyambaa liduva lipamba ukakulyamba 😂🔥🙌Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa.