Harmonize na Kajala kama si ushamba ni nini?

Unafikiri watu wote wasiofanya kama wao hawana pesa?
Kwan wao wamekatazwa au kuzuiliwa kufanya km wao? Kheeeh mbna mnapangia watu maisha yao, kuweni buzzy na maisha yenu, au mnataka maisha ya wenzenu yawe yenu.

Yaan niko hoi kwa kucheka,
 
Kwan wao wamekatazwa au kuzuiliwa kufanya km wao? Kheeeh mbna mnapangia watu maisha yao, kuweni buzzy na maisha yenu, au mnataka maisha ya wenzenu yawe yenu.

Yaan niko hoi kwa kucheka, [emoji23
Sawa nawe anza basi
 
Back
Top Bottom