Mbona hii ni zilipendwa, Wolper wakati huu alikuwa amefadhiliwa na Harmonize baada ya kuwachwa na mkongo wa kwanza, alikuwa hana pa kukaa, alichukua hoteli hela ya kulipa hana. Harmonize alilipa hoteli na kumhamishia kwake. Amepata mkongo mwingine mwenye pesa, hii ni old story.