Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 679
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE
Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure au watalipwa
Matamasha mengi huwa yanaangalia nyakati Oct 28 kuna uchaguzi then 28 Nov kuna tamasha kubwa hii ni sawa sawa na tamasha lake la June lililopotea hewani. Vitu vingi kwa msanii huyu haviishi vinapotea hewani hewani
Hawa wanalengo la kumsaidia lkn waangalie sanaaa likibuma watamshusha mazimaaa