Harmonize kuanzisha radio stationa yake ya 'Konde FM'

Akitaka abaki juu,ajiunge na clouds. Ana kipaji na uwezo kuliko Diamond,ila inteligensia ya biashara,kama atafungua radio yake,nitakuwa na mashaka nayo kidogo.
 
Sina ugomvi na wewe kama wewe mkuu ila napingana na comment yako inayomkatisha tamaa mwenzako anayepigana na maisha ili tu kutafuta riziki kwa njia iliyo ya halali.
Harmonize huyuhuyu ninayemjua ambaye hakukatishwa tamaa na crew ya BSS ndio aje akatishwe tamaa leo na comment ya mtu ambae hata hamjui tena baada ya kufika hapo alipo? Bas sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf inasomwa na watu wa kila rika na watu wa aina mbalimbali,comment yako sio tu kua inaweza kumkatisha tamaa muhusika bali hizi mentality za kukatisha tamaa watu bila proper investigation au kuweka any details na upingaji wako zinaweza kumkatisha tamaa msomaji yeyote wa hiyo comment.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom