Harmonize katoa utumboMoto moto remix ya Domo vipi sio singeli au
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Harmonize katoa utumboMoto moto remix ya Domo vipi sio singeli au
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Huh hamna kitu hapo. Kaharibu singeli ya watuTangu Harmonize atoke WCB nyimbo yakwanza kutoa nikaona katoa
nii hii singeli yake,sipendi singeli wala mziki wa singeli ila hapa katoa hit
huko kwingine kote alikua anagusa gusa ila hapa kwenye singeli Kagusa
singeli ya nani?
Siwezi kukujudge cos kila mtu anasikio lake ila kwa upande wangu hiyo ngoma ni mbaya.singeli ya nani?