kichumvi Uboho
Member
- Mar 8, 2019
- 65
- 230
Hivi kumbe hata wewe uko roho ya korosho aise?
Mkuu unataka nisifie ata kitu ambacho kwangu naona hakifai,Hivi kumbe hata wewe uko roho ya korosho aise?
Nilikuwa nakuona msela kumbe uko tofauti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kesho nakutimua usipomalizia kodi yakoWazee wa kupiga maji kwa hela ya kodi hii ndio goma yetu
Babaaa mwenye nyumba hujanikomoaaaaa...
Vipi kazi yako ya kushika pochi za sara unaendelea nayo au umeacha?Umeshaula kwa domo?
dodge
Vipi kazi yako ya kushika pochi za sara unaendelea nayo au umeacha?
Mbona mipasho ya mumeo Domo huisemi sister?







Moto moto remix ya Domo vipi sio singeli au






