Naona unatumia msuli kimbunga sana kumpromote huyu cjui unamuita harmonize cjui homone cjui testestoleni lakini hamna hata cha maana anachoimba zaidi ya kupoteza urithi wa mwanao na nguvu zako za uzeeni icon wetu hv kwa nn huyo jamaa usimfanye kuwa bodyguard wako namba mbili baada ya yule jibaba kama kweli umeamua kumsaidia !!? Maana me naona anadeserve tu kwa hyo position na cyo kufanya mziki, kifupi huyo cyo mwanamziki na wala hafanani nakuwa hvyo
Hivi kwa nn hyo nguvu unayotumia kumpa huyu jamaa usiwape labda nuh mziwanda au timbulo ukaongeza idadi ya wanamziki wa kimataifa kutoka tz kama ww ndugu yangu!!?
Tafadhali zingatia ushahuri wangu ingawa naamini kabisa hii post nimeandika ki sntch lakini ukweli ndo huo [HASHTAG]#inshallaiposikuutanielewa[/HASHTAG].