sawa kwa taarifa,ila mwandishi wa therad hii unatakiwa upimwe akili na madaktari bingwa,unaandika story wakati tukio lipo on line katika tarehe,ungebainisha kwa kutumia maneno rahisi ya kiswahili yanayoweza kueleweka zaidi,jifunze kwenda na wakati ,unapoweka bandiko lako hapa hakikisha linauhai au linaweza kuish muda,ahaaaaaaaaaaaa,unachosha sana wewe