Harmonize bado sana haswa kuwapita watu kama diamond platnum ni ndoto kwa nn kwa sababu still anaiga diamond nn anafanya ni sawa kucheza na barcelona ukiwa unapiga pasi sana kama arsenal ya wenger huwezi kumfunga labda upige counter attack uende tofauti nae ndo utamdhiti
Kingine ajue huu mziki wa sasa wa ovyo wa kucheza cheza tu ni staili ya wcb au mond ndo kaleta huu uzungu wao wanafanya kama yeye wote ni ngumu kumpita labda watu wa singeli na hiphop wanaweza kustruggle kumpita
Ujinga kafanya harmonize ni chuki kutaka kumfunika mtu mbaya zaidi kwa Tz hata africa kwa show hawamuwezi diamond except malegend kama kofi olomide,fally ipupa na p square ambao sio waafrika kwa sasa
Kaona jamaa kaingia ivi basi anafanya ivi then anaropoka sana kwanza 70% katembelea shortcuts ya diamond kila kona alikuwa anaenda nae mpaka kukutana na watu wakubwa nje kifupi harmonize aje na style mpya ya muziki wake mfano zamani walikuwa huwezi kumjua mkali wa game maana mr nice ana mfumo wake juma nature wake matonya wake mr blue wake ,ukija feroux wake njoo sasa kwa dully sykes ana ladha yake pia ila wa sasa video ikianza ujue utaona walllpaper kwa nyuma
watu wanacheza tu hamna yale mazingira ya kipekee nyimbo zipo vinafanana thuw why kuja kumpita master wa hizo nyimbo ambaye ni diamond ngumu sana