my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila laheri kwao, kajala anaenda kujimilikisha lile dude la kijeshi....
Naijua na kuisikiaTeh teh teh teh
Bilioni 10 unaijua au unaisikia?
Dude gani ilo?Kila laheri kwao, kajala anaenda kujimilikisha lile dude la kijeshi....
They're so beautifulNimefurahi kwa ajili yao...
Mungu awatangulie..
Acha ujinga! Bilioni 10 unaijua wewe? Utajiri wake wenyewe haufikii bilioni10, ndio ije iwe pete ya uchumba tu??!!Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa [emoji6] Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu anaekupenda na yeye akakupenda [emoji7] leo hii jioni harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi kajala masanja.
Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa nchini uturuki kwa kina ertugru [emoji16]
Wamependeza sana na wenye wivu wajinyonge [emoji12] Kwa sasa hii ndo kapo namba moja inayokubalika na yenye ushawishi mkubwa Tanzania na East Africa. Tunawatakia maisha mema na ya furaha tele...[emoji3578]
Picha na video chini ni bwana Harmonize akiwa na mchumba wake kajala wakati wa tukio zima la uvishwaji pete. View attachment 2271917
View attachment 2271918
View attachment 2271919
Kila mmoja, ana size yake. Inawezekana huyo Kajala ni mmojawapo wa wanawake wachache walioweza kulimudu hilo nanihii, yaani ana RAMBO, hivyo, HAWAPWELETETANI!Kajala anaenda kumiliki like boloo kubwa ka mtwangio[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848]
Rajabu kenge sana hilo gumegume amuulize P Funk afu nyonga zishakaza asitegemee kulijaza ujauzito[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jamani.. Kuna chawa, halafu kuna Mwijaku!!!
Anakuambia "I love the moment."[emoji28]
Sifuri nyingi sana zimeongezwa hapo,mzeebaba usidanganyike kiurahisi hvyo,hana hiyo hela huyo dogo,huyo boya anatudhalilisha sana watu wa kusini,mshamba sanaNaijua na kuisikia