hahahaThere was no need of media !
The true meaning of giving
Kwa hiyo ametoa ili tujue , dah mi aisee sipo hivyo !hahaha
watajuaje ametoa!!!
Kiuhalisia hili ni tusi.. Sizungumzii aina ya gari wala simpangii cha kutoa lakini angempa nyenzo sio gari
Ukishapewa zawadi si unajiongeza mkuu.Kama vipi unaiuza tu manake ni zawadi na bila shaka na kadi amekabidhiwa!
safi sana, Sir God akubless zaidi,,,,Kwa hiyo ametoa ili tujue , dah mi aisee sipo hivyo !
Fafanua mkuu mshana tusi kivipi wakati baraka zinaenda kwenye mkono unaotoa kuliko unaopokea.Kiuhalisia hili ni tusi.. Sizungumzii aina ya gari wala simpangii cha kutoa lakini angempa nyenzo sio gari
Tatizo binadamu wanageuka,anawezakujakusema hakusaidiwa baada ya kupata mafanikio.There was no need of media !
The true meaning of giving
ha ha ha mkuu hebu mpatie nzuri basi....Gari mbaya
ha ha ha haQchillah hachelew kuanza kumvuruga na kumlaumu huyo dogo huku akimpa shit za kizungu
huna kitu mkuuKwa hiyo ametoa ili tujue , dah mi aisee sipo hivyo !
Kwani baba dai anashida gani?Dai tunajua maisha yake na mama yake na familia yake (tukimtoa baba yake) je, Harmonise na yeye familia yake yote mambo safi??
Just asking out of curiousity