Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,882
- 2,109
Mbona unanisemeaEvelyn Salt ulitaka kujua sababu ya jamaa kupigwa ban
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unanisemeaEvelyn Salt ulitaka kujua sababu ya jamaa kupigwa ban
Kwangu m naona harmonize hajafanya maajabu ila original version ndo kali kwa upande wangu lknToa credit kama nyimbo ni nzuri, alafu its a remix brother ulitaka atumie akili gani sasa?
Nikilewa sitaki nigasiweKwangu m naona harmonize hajafanya maajabu ila original version ndo kali kwa upande wangu lkn
Hahahahha ibraah nimekupata vyemaNikilewa sitaki nigasiwe
Niaje msela mbona unanikera
Aaaaa aaaaaa nayumba mamaeeeHahahahha ibraah nimekupata vyema
Original ndo kali wwAaaaa aaaaaa nayumba mamaeee
Sijawahi chizika na nyimbo kiasi hiki aisee
Kwa maoni yako sikupingiOriginal ndo kali ww
Huyu jamaa kapigwa ban..Heheheh kaiotea
Bwana wee,,, acha tu mzee wangu yani wamenigeuza mpira wa kona leo Keko kesho stakishari 😅 awamu ijayo nafikiri itakuwa segereaMwamba umelimwa!!!
Ah karibu tena .mkuuBwana wee,,, acha tu mzee wangu yani wamenigeuza mpira wa kona leo Keko kesho stakishari 😅 awamu ijayo nafikiri itakuwa segerea
Asante mkuuAh karibu tena .mkuu
Dah unaibuka halafu wanakupoteza tena ...ni kama ile mahakamani unafutiwa mashitaka halafu kabla hujatoka unakamatwa tena unasomewa mashitaka mapya....karibu tena mzee !Bwana wee,,, acha tu mzee wangu yani wamenigeuza mpira wa kona leo Keko kesho stakishari 😅 awamu ijayo nafikiri itakuwa segerea
Asante sana yote ile kuingia jukwaa la siasaDah unaibuka halafu wanakupoteza tena ...ni kama ile mahakamani unafutiwa mashitaka halafu kabla hujatoka unakamatwa tena unasomewa mashitaka mapya....karibu tena mzee !