Jamani anacho kifanya huyu Harmo ni uvunjifu wa sheria kwani tandahimba yupo mbunge sasa na yeye kila siku anajinadi kwamba yeye ni mbunge.huku ni kuvunjwa kwa sheria na taratibu.
Kama mondi anaweza kumcoach mtu aliyekua anaonekana hana mbele wala nyuma mpaka inafikia hatua anapewa promo na raisi akawe mbunge ! Mondi anastahili degree ya heshima kwani anafanya kazi ambayo hata vyuo vikuu vmeshindwa kwasasa!!
Ni africa tu pekee kila msanii akijulikana kidogo anawaza kuingia kwenye siasa japo kwengine wapo ila Africa kumezidi mana nakimbuka miaka kadhaa nyuma bongo karibu nusu wote walitaka kuwa wabunge ila nafasi wakakosa
Hii ya kujiita "mbunge" kwenye majukwaa kabla ya muda wa uchaguzi inaweza kuwa hoja ya kupinga matokeo yake mahakamani iwapo atagombea na kushinda!!! Ila sababu refa wetu kibendera wetu, VAR yetu aendelee tu na kampeni!!!