Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,393 Reaction score 45,061 Dec 7, 2022 Thread starter #2 Tuwe wema jamani...ulimwenguni tunapita tu.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,067 Reaction score 7,552 Dec 8, 2022 #3 Ndio ukweli.. Lakini Mabehewa buyers haiwahusu.
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,600 Reaction score 19,866 Feb 3, 2023 #4 Huo Ni ukweli mchungu Sana jamani 🤔
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,397 Reaction score 9,175 Feb 3, 2023 #5 Duuh! Basi tufurahi kwa kila goodmoments kadrii tuwezavyo
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,634 Reaction score 74,493 Feb 3, 2023 #6 Sorrowful 😔
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,515 Feb 4, 2023 #7 Ni Kweli,lkn hbr Njema ni Kwamba Nitakuwa sijitambui,nitakuwa nipo somewhere nikila upepo mzuriiiii,Limwili langu tu ndio litakalokuwa linaharibika.Hivyo tufurahie Maisha tuliyopewa na Mungu huku tukiishi Maisha mema.Fullstop.
Ni Kweli,lkn hbr Njema ni Kwamba Nitakuwa sijitambui,nitakuwa nipo somewhere nikila upepo mzuriiiii,Limwili langu tu ndio litakalokuwa linaharibika.Hivyo tufurahie Maisha tuliyopewa na Mungu huku tukiishi Maisha mema.Fullstop.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,915 Feb 4, 2023 #8 Ishini mkiwa wema ili kama kuna cha kupata baada ya kifo mpate yaliyo mema.