mwalimu, wengine working hard is like a hobby. kiukweli hata ningeolewa na mfalme wa arabuni, nahisi ningekuwa bored stiff and to the core. hata nipewe kila kitu with a gold spoon to eat from, nadhani i still need some kind of work kuweka hii kichwa sawa.
msimamo wangu ni kuwa kila mtu anahitaji kufanya kazi kama sehemu ya kujamiiana.
uwe na valentine njema.
well said King'asti, ni kweli kuna watu hard working ni hobby but hobby hii imeharibu wanaume wengi sana. mfano nimeangalia maisha niliyokulia mama ni mchapa kazi kuliko baba nikajiuliza ingekuwa yule mama alifunga mikono yake this story would be otherwise.
sasa nimeangalia maisha ambayo ninaona watu wanaishi bado wamama wengi ni wachapa kazi kuliko wababa. na hapa imekuwa sasa wamezoea kuwa wavivu huku wakiwaacha wake zao kuchapa kazi na kuendesha familia.
ni kweli japo mara nyingi wababa watabisha. lakini ukiwa na strategy, unakuwa hardworking and you push your man to work hard too.
tatizo analipata mdogo wangu (baby dont read this, lol), she is hard working na anabarikiwa haswa. mume yuko busy na competition ila in a good way. mwisho wa siku wanaendelea.
ndio maana nasemaga hapa, baba aangalie familia yake entirely! alipe bills, alipe ada etc. Mama atachip in kwenye maendeleo. Kama mkitaka kununua gari na kujenga nyumba, haidhuru kama mama akatoa hela hata zaidi ya baba. kuna rafiki yake Paw aliwahi kusema ameandikisha kila kilicho chake kwa mkewe. kwa sababu ana uhakika siku mkewe akifa hakuna atakaemsumbua, ila yeye akifa anajua mkewe atasumbuliwa. na anakiri yeye na mkewe wanasaidiana maendeleo.
dah! hii ni experience ambayo sitoka niisahau maishani mwangu, my dad used to be a king aisee. kwanza alikuwa ni mtu anayejipenda sana na hapendi tabu zaid ya starehe, my momy used to be a hard working woman ambaye alihakikisha things are happening katika each angle. she dared to risk even our lives just for the sake of hard working so as to make things happen.Inaelekea watu wengi wanatoka kwenye familia yenye mama wachapakazi kweli kweli. Ingawa baba ni the main breadwinner, mama siku zote alikuwa na anaendelea kuwa mchapakazi, risk-taker, na mtu anaesaidia meli isizame mambo yakimuendea baba kombo. Ingawa siwezi kusema kuwa wazazi wangu wako so in love, lakini ni ile tu heshima ya kuwa pamoja miama karibia 30 sasa. Kwa namna nyingine nimeshuhudia kukwepa majukumu toka kwa baba kwa sababu hiyo, jambo ambalo sikufurahishwa nalo, laiti wote wangekuwa wanachapa kazi pamoja na kuungana kwenye project zao nadhani familia yetu ingekuwa mbali zaidi. Lakini inabidi nikumbuke kuwe wazazi ni binadamu pia, wana madhaifu yao.
As a new parent I hope to emulate what my mama does na kujitahidi kuwa na familia imara na bora. Msisahau kutuma message za valentine kwa wazazi!
lara 1 again,Wanawake hardworking uangalie mahali anakotoka kama Rombo mashati au Rombo tarakeea huko! Sisi wanawake wa pwani asili yetu ni kujipaka hina na kushinda barazani ikauke.
Hata tusome vipi uvivu na kulalamika kazini kuacha mwiko, hata promotion inabidi tutumie shortcut ambapo ndo the only sector we are best at.
Afu wanaume wa siku hizi kauzu zaidi ya dagaaa, ukijifanya hardworking kidogo na mtoaji mbona majukumu yote anakutelekezea hapo. Utalipa ada zote, utalisha familia, utajenga, yaani ukija kustuka you are alredy 50yrs, More than 20yrs of your life umefujwa fujwa tu.
Mwenzangu ukiona mtu hatoi na wewe jikaushe kau! Kama hajigusi kujenga we jenga kwa siri, kama chakula hanunui na wewe jikaushe kau! Ada jikaushe hivohivo hata watoto wakirudishwa poa tu, mbona atalipa. Hii inakuwaga mnyonge mnyongeni! @ Mama lara kuku zikipitishwa ofisini lazima amuulize baba lara achukue ngapi na pesa yake atarudishiwa lini?
Ila kuna EXTREME CASES! za wanawake too much is harmfull
1.Wamama wa pwani! Jamani tupunguze, wajiremba wewe tu, kujishindilia midhahahabu tuuuuu, na make up za ghali sanaaa! Midera ya laki 3, miguo kabati ya milango 4 haifungi, ila kila siku wapika maharage! Wanao rafurafu. Ukipata hata mia wawekeza kwa sonara au botique.
2.Wamama wachaga! Kila senti wawekezaaa tu! Kutwa kutuma hela nyumbani kwenu. Kila siku wajenga tuuuu! Nani ataishi humo mijumba yote hiyo? Huli kwa rahaaa na kujinafasi, Hujipendezeshi, hujitreat! Kutwaaa wewe kusave na kusave tu. Kujenga kwenue, sijui nini! Khaaaaaaaa! Wanao na mumeo hawafaidi kisa unainvest!
3. Wamama Wanyamwezi na wamanyema! Kutwaaa pesa yote kusaidia nduguzo. Hata hamuendelei wewe ndo umejitwisha familia yenu mazimaaaa! Haihusu kabisaaaa. Pesa zote watuma nymbani!!!
hhahahaha! natamani maisha yangekuwa kama unavyodhani wewe mdogo wangu. wafikiri kuhudumia familia toka huko ni kazi ya baba?? mie nilipita kwenye familia ambayo nimeona mama ndo mwezeshaji wa kila kitu na hata ukirudisha ada mma anaumiza kichwa baba yupo na kila siku nakupenda mke wangu.............usiseme hayo kabisa.kwa nini mwanamke ulishe mwanaume ,tena huku mjini? .mapenzi au ushamba?
dah! hii ni experience ambayo sitoka niisahau maishani mwangu, my dad used to be a king aisee. kwanza alikuwa ni mtu anayejipenda sana na hapendi tabu zaid ya starehe, my momy used to be a hard working woman ambaye alihakikisha things are happening katika each angle. she dared to risk even our lives just for the sake of hard working so as to make things happen.
sijamaanisha full kuuchuna.i mean maisha ni kusaidiana.nazungumzia wauza sura ambao wanapenda wanawake wao wawafanyie kila kituhhahahaha! natamani maisha yangekuwa kama unavyodhani wewe mdogo wangu. wafikiri kuhudumia familia toka huko ni kazi ya baba?? mie nilipita kwenye familia ambayo nimeona mama ndo mwezeshaji wa kila kitu na hata ukirudisha ada mma anaumiza kichwa baba yupo na kila siku nakupenda mke wangu.............usiseme hayo kabisa.
tena unakuja kukutana na utunzaji wa familia wakwe zako wewe unajitoa kuliko hata unavyojitoa kwenu, na hapa unajua kabisa nikilega amani itatoweka na mm sitaish kwa raha basi ngoja nijitoe ili iwepo siku zangu ziwe nyingi. kwenu wakiomba hela kila siku mama sina na ukweli unakuta huna lkn ndugu wametoka huko watokako wana shida ni wa mume huwezi kuwachunia itakulazimu wale wanywe na kama wanatibiwa waende hosp ama kama ni harusi waende wakiwa wamependeza
mwalimu, wengine working hard is like a hobby. kiukweli hata ningeolewa na mfalme wa arabuni, nahisi ningekuwa bored stiff and to the core. hata nipewe kila kitu with a gold spoon to eat from, nadhani i still need some kind of work kuweka hii kichwa sawa.
msimamo wangu ni kuwa kila mtu anahitaji kufanya kazi kama sehemu ya kujamiiana.
uwe na valentine njema.
yaani atakaye waoa kingasti na smile ana kazi ,nampa pole
sijamaanisha full kuuchuna.i mean maisha ni kusaidiana.nazungumzia wauza sura ambao wanapenda wanawake wao wawafanyie kila kitu
usijali nawe pia ni mmoja wao jiangalie tu.Aiseeee i wish i was such type of woman,maybe i am ila bado sijaexpirience,ila asante kwa ujumbe coz all you said is true familia inyingi za siku hizi mambo ndivyo yalivyo.