Hard Power: Pentagon 'Encircling the World' With Missile Defense Systems

Hard Power: Pentagon 'Encircling the World' With Missile Defense Systems

kuna kitu kingine kinaitwa Rs-28 sarmat,hii kitu ni hatari san inauwezo wa kubeba vichw hadi 15 vya nuclear na pia ina kitu inaitwa countermeasures yani inauwezo wa kuzuiya anti missile yoyote ile.hii kitu mwak huu warusi wamepang kuiyonyesh kw wananchi wao

Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app
RS-28 (Sarmat)
Type
Heavy Intercontinental ballistic missile
Place of origin Russia
Service history
Used by
Russian Strategic Missile Troops
Production history
Designer
Makeyev Rocket Design Bureau
Manufacturer Krasnoyarsk machine-building plant , НПО Энергомаш , НПО маш , KBKhA
Specifications
Weight
Over 100 tonnes
Warhead
Up to 15 MIRVs[1] (various type and yield , 3 to more will be 9Mt to 40 Mt , a single can be within 40 25 Mt , 4 6 8 - 20 Mt to > 40 Mt each)

with extensive counter-BMD measures.
Engine 4 РД-274 RD-274 first stage Liquid-fueled
Propellant Liquid

Operational
range
approx. 10,000 kilometres (6,200 mi)
Speed over Mach 20 (24,500 km/h; 15,220 mph; 6.806 km/s)

Guidance
system
Inertial guidance, GLONASS, Astrocelestial also

Launch
platform
Silo
 
kwa huku afrika russia inajulikana mitandaoni tu na mijini kidogo, marekani inajulikana hadi kijijini kwenu.
 
Usichanganye mambo, Russia na China miaka yote zimekua zikipiga kelele kuwa marekani inawazunguka kila kona na hizi missile defense system, tangu enzi za Bush Russia ilipinga THAAD isiwekwe East Europe, pia China mara kadhaa imepinga system hiyo isipelekwe South East Asia, na Korean Peninsula

Kingine kinachowaogopesha Russia na China, ni kuwa marekani inapeleka air defense system sehemu mbali mbali duniani kwa mahitaji mbali mbali, baadhi ziko kwenye meli vita, karibu kona zote
Hivyo ukijumlisha na kambi mbali mbali alizonazo baharini na nchi kavu zilizotapakaa Asia, East Europe ni lazima Russia na China wapige kelele

Kelele za marekani sio za kuzungukwa na Russia na China, maana marekani ipo mbali nao, concern ya marekani ni hizo system za Russia kutua kwenye mikono isiyo salama, na pia marekani hataki system hizo za s-300 kuuzwa kwa tawala korofi duniani mfano wa Iran na North Korea, kwa mujibu wa marekani

Ndio maana marekani haina pingamizi silaha hizo kuuzwa nchi kama india, Bangladesh, Indonesia etc, hivyo tunachozungumzia hapa ni marekani kuizunguka dunia nzima na systems mbali mbali za air defense, jambo linalowakwaza Russia na China,

Hivyo sio sahihi kusema marekani pia huwa inapiga Kelele, wakati Russia haijaizunguka wala ku deploy air defense kokote duniani zaidi ya s - 400 iliyopelekwa Syria kwenye vita

Marekani hataki systems hizo ziuzwe kwa mataifa inayoyaita rogue States, na hiyo ipo kwenye policy yao ya sanction regime
Na malalamiko ya Russia na China siyo kwenye THAAD tu, wanadai marekani inaizunguka dunia na kambi za kijeshi na silaha mbali mbali
Sasa Marekani ye ni nani.....we nae usituzingue...
 
Russia yuko njema sana..ila hana pesa ya kupigana vita may be kwa miaka mi 5...atafilisika kabisa...vita ni hela mkuu
vita ya tatu ya dunia pesa haitoitajika kabisa maan hata mwezi haitochukua mshind atakuwa kashapatikan

Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app
 
mkwanja nao unahusika hapo mkuu
Issue kubwa ni kuwa US wao ni superpower hivyo wanaweza fanya mambo mengi ambayo mataifa mengine makubwa kama Russia na China hayawezi fanya.

Kama unakumbuka kipindi cha cold war, Russia walika makombora yao Cuba (Cuba missle crisis) marekani alilalama sana kipindi kile lakini sasa yeye ni mtawala wa dunia halalamiki sana. Ulaya katibu yote ipo chini yake chini ya mwamvuli wa NATO. Ameweka mifumo ya kinga dhidi ya makobora katika anga ya washirika wake tena kila kukicha anakaribia karibu na mipaka ya Russia. Na sasa anazidi kuizingira Russia kutokea ukanda wa ulaya na sasa hadi upande wa kanda ya mipaka yake karibu na Korean peninsula, Japan.
 
ndo mana obama juz kati alisema russia ni regional power and not global power
 
Vita ni mtaji, kurun overseas military base si gharama ndogo kamwe.
Russia lazima alalame maana akiangalia kadhazungukwa na US bases kila corner, tokea Lativia, Estonia, lithuania,Croatia, na kubwa zaidi zilizoko S.Korea, Germany na England.
Kikubwa anachohofia Russia, ni uwezekano wa vita kupiganwa ktk ardhi yake jambo ambalo kwa mataifa yenye kujitambua hukwepa
 
Vita kati ya Russia na US...ni ngumu sana kupiganwa..I think hakuna rais yeyote kati ya mataifa hayo mawili atakayetaman historia hiyo imuangukie.....diplomasia ya hali juu lazima itatumika......na ikitokea wakapigana then one of them will win the battle but the war will be lost to both.of them
 
kama makombora ya scud B ya sadam ambayo yalikuw ya zaman san yaliwez kupeny kweny patriot,iweje leo hii waogope mifumo iyo

Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app

Mkuu, hawaogopi chochote watu wanajisemea tu - lakini ukiwahoji Wasaudia wanaoishi mji wa Dharani vile vile na Waisrael hao ndiyo watakupa ukweli kuhusu udhaifu wa makombola ya Patriot kushindwa ku intercept SCUD za Sadam, Patriot zilikuwa zinajiripukia angani bila mpango wakati warheads za SCUD zilisha jipenyesha kitambo.

Patriot zinauwezo wa ku intercept homemade viroketi vya Wapalestina vinavyo hundwa kwenye backyard vyenye kasi ya subsonic, na hivyo wakati mwingine vikirusha in salvos Patriot inashindwa kuvimudu vinaishia kuuwa watu na kuharibu majengo.

Ingawa SCUD ni makombola ya kizamani kidogo, baadhi ya watu hawajui kwamba warhead yake inapo shuka kutoka kwenye stratosepher inashuka at the right angle na at a supersonic speed, Marekani na washirika wake walijua ukweli huo wakati vita na Iraq, ndio maana muda mwingi wa ndege zao za kivita ulitumika kutafuta maficho ya Scud na kujaribu kuziharibu kabla hazijarushwa na jeshi la Iraq, wana anga walipata wakati mgumu kufanikiwa ku identify sehemu SCUD zilipo fichwa hii ilitokana na makombola yenyewe kuwa highly mobile kwa kuhamishwa hamishwa kila wakati na wanajeshi Iraq.

Hiyo ilikuwa miaka hiyo wanajeshi wa Iraq walipo tumia a stoneage
missiles techology ku defeate a high tech Patriot ambayo ilikuwa inapigiwa debe karibu Dunia nzima , je sasa hali ikoje? Hapa nimetoa mfano mdogo tu kuonyesha kwamba wewe ukijua hili wenzako nao wanajua wapi pa kuku corner ukajikuta huko kwenye wakati mgumu, kukaa kwao kimya na kutojitangaza ovyo ovyo akumaanishi ni vilaza au hawana wanasayansi mahili.
 
Katika suala la defence Rússia anajua wazi akicheza anapotezwa... Uchumi wa Russia utayumba but don't expect Jeshi lao litakuwa nyuma kwenye technology.. Hakuna urafik Kati ya USA na Rússia hata siku moja.. USA hawezi pigana na Nchi ambayo inaweza kumuumiza directly.. Russia haitaji Kambi kuweza kumpiga USA, ni nchi ambayo ina missiles zinazosafir umbali mrefu sana dunia.. Umbali Kati ya Russia & USA ni roughly kilometers 8860..ICBMs za Urusi zinasafir umbali wa Km 10,000 mpaka 20, 000...hizi ni ambazo znajulikana. Kwa hiyo nchi hiz ikitokea vita tambua anga litawaka moto. Marekani imepakana na Urusi kupitia jimbo láke ambalo aliuziwa na Urusi lá Alaska,..
 
kuna kitu kingine kinaitwa Rs-28 sarmat,hii kitu ni hatari san inauwezo wa kubeba vichw hadi 15 vya nuclear na pia ina kitu inaitwa countermeasures yani inauwezo wa kuzuiya anti missile yoyote ile.hii kitu mwak huu warusi wamepang kuiyonyesh kw wananchi wao

Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app

We... Jamaa unachekesha kweli, comment zako zote zimekaa kishabiki kuliko hali halisi, Unaongea mambo ya kushangaza Sana, wakati Russia inalia Kwa hofu na ipo suspicious na mfumo wa US kuwa na kambi dunia nzima, wewe eti unaenda against.
wenye serikali Moscow wana mashaka, wewe mkazi wa manzese tu unapiga kelele humu, yaani kweli wewe ni kiazi kabisa.
Yapo mambo mengi Sana yanakupiga chenga huyajui halafu unajifanya kujua, Kwa akili yako ndogo unadhani Russia anaweza kuweka military base dunia nzima Kama US? US ina kiburi cha utajiri uliotukuka, yeye Russia ana silaha kibao za kisasa na jeshi zuri ila hana pesa, na huwezi kupigana vita bila pesa, US ana vyote, ana jeshi zuri, sila nzuri na pesa kibao, usitoe comment kishabiki eti kisa tu huipendi marekani, hilo halikusaidii kitu, for the truth shall maintain its nature.
 
Alaska aliuziwa kijana????
 
Mkuu hebu achaga uongo mara nyingine...unapangilia uongo kama uko kwenye kamati ya maandalizi?!
 
We... Jamaa unachekesha kweli, comment zako zote zimekaa kishabiki kuliko hali halisi, Unaongea mambo ya kushangaza Sana, wakati Russia inalia Kwa hofu na ipo suspicious na mfumo wa US kuwa na kambi dunia nzima, wewe eti unaenda against.
wenye serikali Moscow wana mashaka, wewe mkazi wa manzese tu unapiga kelele humu, yaani kweli wewe ni kiazi kabisa.
Yapo mambo mengi Sana yanakupiga chenga huyajui halafu unajifanya kujua, Kwa akili yako ndogo unadhani Russia anaweza kuweka military base dunia nzima Kama US? US ina kiburi cha utajiri uliotukuka, yeye Russia ana silaha kibao za kisasa na jeshi zuri ila hana pesa, na huwezi kupigana vita bila pesa, US ana vyote, ana jeshi zuri, sila nzuri na pesa kibao, usitoe comment kishabiki eti kisa tu huipendi marekani, hilo halikusaidii kitu, for the truth shall maintain its nature.
uwa nashangaa mnapotoa sababu eti urusi hata pesa awezi pigan vita,mnachekesh kweli vita kati ya usa na urusi itakuw na vita ya icbm ambazo zitarushw kutok kila upande.kombora moja tu la ss-18 satan likipeny basi ujue Dar+morogoro+tanga haitokuwepi kweny raman,naiman wiki tu vita itakuw imeish
 
kw iyo mweny makombor meng na mweny eneo kubw ndo atakuw na advantage kubw ya kushind vita wala haitoitajik mweny uchumi mkubw
 
Back
Top Bottom