Habari,
nina hard disk ambayo ilidondoka ila kuanzia hapo nikiweka kwenye computer inahitaji kuformat na ukiangalia file system imekuwa "raw" badala ya ntsf/fat,
kuna msaada naweza kupata ili isome niweze kupata files zangu...????
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.