Published on 13 Jan 2013Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni limewatahadharisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuwa makini na watu ambao ni matapeli Kutokana na kuibuka kwa mbinu mpya ya wizi wa fedha kupitia njia ya mitandao ya simu pamoja na mashine maalum za kutolea fedha Benki ATM.
polisi wapo busy kukamata vijana wa bodaboda wasiovaa kofia ngumu. Huku wakitumia magari ya serikali kuzunguka mji mzima kuwakihangaika kuwatafuta hao vijana, ( jeshi la wanyang'anyi)
Kama wako busy kwa suala hili naona ni muhimu kwani linaokoa maisha ya mwanadamu. Au tumesahau umuhimu wa kofia ngumu (helments)?
Angalizo:
1. Siwatetei polisi kwa kutokuwepo kwao katika eneo lenye matapeli.
2. Watanzania wenzangu, tusipende pesa za chapchap. Wengi wa wanaotapeliwa hudanganywa kwa kuambiwa njia flani flani za kupata pesa za chapchap.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.