Harare-Zimbabwe

Harare-Zimbabwe

Walisema harare ina hadhi ya kuandaa kombe la dunia kutokana na miundo mbinu yake!

Harare hii Kigoma.
 
hizi picha zinanitisha kwamba wanabodi mnataka kuhama nchi?
 
Dar tunajivunia nini? Nyerere kuwatimua wazungu mapema alifanya kosa....
 
DSM ni mji mchafu sana...
Kama umeingia kwa ndege, ukitoka tu ndani ya ndege unakutana na harufu mbaya, kwa basi, ukiianza kibamba tu Hali ya hewa inabadilika, huwa sielewi ni harufu ya nini
 
Kwani wazungu ndo kina nani badili fikra kuwa wazungu ni kila kitu
 
"SOUTHERN RHODESIA"/
MUGABE HAPO HAJAJENGA HATA JENGO MOJA.
YOTE YAMEJENGWA NA WAZUNGU EVEN CITY PLAN.
 
Back
Top Bottom