Haramu mwanaume kuuza "chupi" saudi arabia!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haramu mwanaume kuuza "chupi" saudi arabia!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bampami, Jan 6, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,849
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Sheria mpya inayowapiga
  marufuku wanaume kuuza
  nguo za ndani za wanawake
  kama vile chupi na sidiria
  inaanza kutekelezwa hii leo
  nchini Saudi Arabia. Wanaharakati wa kike
  katika Ufalme huo wa
  kiislamu wanatumai kuwa
  agizo hilo lililotolewa na
  mfalme Abdulla mwaka wa
  2006, utamaliza mfadhaiko ulipo wakati wanawake
  wanauziwa nguo zao za
  wasaidizi wanaume
  madukani. ajira kwa wanawake Hatua hiyo itawapa fursa
  adimu zaidi ya wanawake
  40,000 kuchukua nafasi za
  kazi zitakazoaachwa wazi. Maafisa wa kidini
  wasiopendelea mabadiliko
  wamepinga vikali hatua hiyo
  ya wanawake kufanya kazi
  nje ya nyumba zao. Serikali imepanga kupeleka
  waangalizi katika vituo vya
  biashara kote nchini
  kuhakikisha kwamba
  wasaidizi wanawake
  madukani hawabughudhiwi na maafisa wa polisi wa
  kidini.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Pole zao sijui hongera zao.
   
 3. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii mada tumesha ijadili.
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kila nchi ina nidhamu yake, wewe kinacho kukera nini hapo.

  Wewe unatazama upande wako, na wao wanatazama upande wao.
   
 5. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yaani kuna nchi wanawake hawaishi maisha kabisa, wana ulimwengu mwingine kabisa
   
Loading...