Harambee ya USD 1000 - 2000 kwa Watanzania tunaoishi nje kuikopa nchi yetu kwa riba nafuu

Watanzania tunaoishi nje tuikopeshe nchi yetu USD 1 000 000 000.00 ili Tanzania iachane na kuomba omba pesa kutoka WB.

Mimi nipo tayari nitawakopesha USD 5000.00 (Tunahitaji Watanzania laki moja tu)
tatizo hamfiki hata 10 wa aina yenu 'cause majority ya diaspora wanajitambua!
 
Watanzania tunaoishi nje tuikopeshe nchi yetu USD 1,000,000,000.00 ili Tanzania iachane na kuomba omba pesa kutoka WB.

Mimi nipo tayari nitawakopesha USD 5000.00 (Tunahitaji Watanzania laki moja tu).
Sisi ni nchi tajiri sana,lakini pia rais anatuambia makusanyo ya kodi yanaongezeka kila mwezi pamoja na biashara nyingi kufa na zilizopo kuperform kwa kiwango duni sana and the other side watu wengi wakiendelea kupoteza ajira zao kwa kasi ya mwanga,lakini still makusanyo yanapaa every day.siamini kama nchi yangu inashindwa kupata usd.1,000,000,000.00 hata hivyo nitachangia dollar 3000.00 ili kuwasaidia ccm wawadanganye zaidi wadanganyika come October 2020
 
Watanzania tunaoishi nje tuikopeshe nchi yetu USD 1,000,000,000.00 ili Tanzania iachane na kuomba omba pesa kutoka WB.

Mimi nipo tayari nitawakopesha USD 5000.00 (Tunahitaji Watanzania laki moja tu).
Kwa uwezo wangu wa kubeba mbox huku antactica nitatoa Usd1. Haba ba haba hujaza kibaba.
 
Hahahaa waziingize kwenye kampeni? Labda AG awe independent person/Institute na kuwe na Transparency na kuwe na priorities sio ukilala ukiota treni za umeme, ukiamka unaenda kununua!

Suala si kukopa wala kukopeshwa, suala tunakopa kwa ajili ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchango ni mchango, hasa katika kuisaidia serikali yetu inayotamba ni tajiri kumbe apeche alolo.
Mie kwa January hii kweli hela ni shida kidogo, lakini kwenye kishamba changu mavuno ya matunda aina ya mapera nimejaliwa. Ntatoa debe mbili wakauze wenyewe kama mchango wangu.
Kutoa ni moyo na uzaREndo kwa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Tanzania lakini ready to spare 10million. Ila wawape ndugu zetu wabeba boxi uraia pacha

Uraia pacha sasa hizo ndo strings attached...

EU wanataka tukubali ushoga

World Bank wanataka wenye mimba wasome, wakati wao ukiwa na mimba hawakupi hata VISA.... Nenda Msasani pale US embassy umebeba li mimba uone!

The heck with your predatory loan!

Diaspora kaeni Ulaya, uraia wa "Bongo Bahati Mbaya" nyinyi wa nini?

Tuna pesa za ndani, tuko njema. Kwani deni tungelipa na nini, pesa ya nje? Maraia tembeeni kifua mbere!
 
Mchango ni mchango, hasa katika kuisaidia serikali yetu inayotamba ni tajiri kumbe apeche alolo.
Mie kwa January hii kweli hela ni shida kidogo, lakini kwenye kishamba changu mavuno ya matunda aina ya mapera nimejaliwa. Ntatoa debe mbili wakauze wenyewe kama mchango wangu.
Kutoa ni moyo na uzaREndo kwa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah eti apeche alolo
 
Back
Top Bottom