wana CCM hata nyekundu utasema njano,
inaelewaka kabisa Mkulu wa Kaya alihongwa Suti leo hii unakana? Dah! Yaani washikaji zangu kama January Makamba ana waste time ndani ya CCM kama wana chama wenyewe ndio akili kama hizi za kuukataa ukweli
Nasikia kuna mikakati mibaya sana kama ile ya Tunisia, Libya na misri ni miongozi mwa agenga kwenye Harambee hiyo?
Tuwe tunapashana habari jamani ili kutafuta pa kukimbilia.
Hii ni fursa ya pekee kwa wananchi kuichangia Chadema. Tukumbuke kuwa CCM inachangiwa na vibaraka na waporaji wa rasilimali za watanzania ikiwamo baadhi ya makampuni ya kimataifa yaliyopo Tanzania.
Itakuwa ni jambo la kujivunia sisi wananchi kujichangia kwa maendeleo ya demokrasia yetu na ndio namna ya kupambana kwa vitendo.
Michango muhimu!Ndesa ametukumbusha kwamba hata wakati wanapigania uhuru enzi hizo,walichanga !kwa hiyo wanaobeza huu mchango,hawajui historia!!
Anyway,mambo haya ni mazito sana,wazee wa DAR hawawezi kujua hayo!!