Dr Slaa kataja baadhi ya hujuma zinazofanywa na serikali ya ccm kuhusu uchaguzi wa Arumeru East ikiwa ni pamoja na ongezeko la vituo feki 52 vya kupigia kura, Lubuva na mkurugenzi watofautiana!
Jingine ni kuhusu tangazo la mkurugenzi wa wilaya kutangaza kuwa mwaka huu hataweka majina ya wapiga kura vituoni, baada ya Dr Slaa kuunguruma majina yote yaliwekwa tangu jana na wananchi wanaendelea kuhakiki majina yao vituoni!
Na mengine mengi!
Anakaribishwa m/kiti Mhe Mbowe!