Wakuu nasikiliza Clouds FM arusha, nimesikia tangazo ambalo Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh. Mbowe akiwakaribisha wafuasi wote wa chadema ktk harambee ya kuchangia chama ambayo itafanyika Naura Spring hotel tarehe 23/02/2012.Viva Chadema!
Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !

Sasa wewe ulitaka nani achangiye au wafanyeje?
Wewe mnafiki, hizo milion 26 ni za wananchi walala hoi wanataka ukombozi, swala si kiasi cha pesa wanachotoa swala moyo wanaoutoa kwa chadema! Subirini mapinduzi yatakayotokea! Nyie si mnajivunia kodi za wananchi na michango ya mafisadi hongereni, but your days are numbered! Sisi tutakuwepo kuchangia chama letu!
Hebu cheki tarehe ipo sahihi kweli?
Hii ya kuchangiwa CCM inawakera sana maana walidhani hakuna watu wa kuichangia CDM. Wanataka wachangiwe wao tu.
Chama muflisi hiki
Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM
we umetizama pesa tu mimi nimeaangalia idadi ya wachangiaji kila mtu katoa sh 100
je ni watu wangapi kufikisha hayo ma M au mtaji wa kura ngapi?
Wakuu nasikiliza Clouds FM arusha, nimesikia tangazo ambalo Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh. Mbowe akiwakaribisha wafuasi wote wa chadema ktk harambee ya kuchangia chama ambayo itafanyika Naura Spring hotel tarehe 23/02/2012.Viva Chadema!
Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !
iyo lugha yakheeee ya kipande ileeeeee.....kwetu kwasema kimefilisikaChama muflisi hiki
jk alisema huwezi kula hadi uliwe kidogo hiyo ndo yenu,CHADEMA michango ya umma ndo tija na kauli nasaha toka viongozi wetu.vp na kauli zenu mfu?mara mke wa mtu harafu nanyi kama IGUNGA,mara kaiba sadaka kwenu hela za epa,kagoda,rada,richmond etc hayo yote yana ufisad mpana na bado nyumba za serikali ujue utarudisha tu uwe wewe au jamaa zako kama ulivyojigawia ujue zitarudishwa kwa lazima serikalini kaa chonjo saa mbaya yaja.funguka dogo njoo uwekwe sawa achana na njaa upambe itakuweka pabaya.wape zero magamba wenza.
hivi nikitaka kuchangia kwa M- pesa nafanyaje jamani naomba elimuKamanda tarehe iko sahihi kabisa maana mimi yatari nina kadi yangu nitatia timu kuchangia chama langu kwa fujo! Ni Ijumaa ya Tar 23, March, Kuanzia saa 1:30 jioni. Itakuwa live starTV, kwahiyo kama hutahudhuria changieni kwa M-pesa, Tigo Pesa, na Airtel Money! Viva Chadema!
Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !
jk alisema huwezi kula hadi uliwe kidogo hiyo ndo yenu,CHADEMA michango ya umma ndo tija na kauli nasaha toka viongozi wetu.vp na kauli zenu mfu?mara mke wa mtu harafu nanyi kama IGUNGA,mara kaiba sadaka kwenu hela za epa,kagoda,rada,richmond etc hayo yote yana ufisad mpana na bado nyumba za serikali ujue utarudisha tu uwe wewe au jamaa zako kama ulivyojigawia ujue zitarudishwa kwa lazima serikalini kaa chonjo saa mbaya yaja.funguka dogo njoo uwekwe sawa achana na njaa upambe itakuweka pabaya.wape zero magamba wenza.
hivi nikitaka kuchangia kwa M- pesa nafanyaje jamani naomba elimu