harambee ujenzi wa kanisa

mkurugenzi1

Senior Member
Mar 22, 2009
122
28
MCHUNGAJI aliitisha harambee ya ujenzi wa kanisa na ikapatikana 74,550 na waumini wakapiga makofi,mara MAJAMBAZI wakavamia na wakaamuru kila mmoja hatoe alichonacho, ikapatikana million 800,wakampa mchungaj ajenge kanisa. je majambaz yana dhamb au hayana?MCHUNGAJI aliitisha harambee ya ujenzi wa kanisa na ikapatikana 74,550 na waumini wakapiga makofi,mara MAJAMBAZI wakavamia na wakaamuru kila mmoja hatoe alichonacho, ikapatikana million 800,wakampa mchungaj ajenge kanisa. je majambaz yana dhamb au hayana?
 
Back
Top Bottom