😭😭😭😭😭😭😭😭😭kwa hiyo hapa mimi mwenyewe ndiyo siyo mzalendo.
Bora hata ulikosa nafasi ya kwenda AFCON
Mpuuzi tu weweNipo kuwabembeleza wakenya watufunge![]()
Atapokelewa airport siku ya kurudi kwa kubebwa juu huu.hahaha hivi ni bingwa wa madoido na kukera
Hatujali possession sisi, tunasubiri la tatu hapaFanya hivyo jamani.
Vipi possession nani anaongoza?
Unanilipia mkuu?
Kabisa, TZ ikishinda Leo basi wataambulia japo draw against AlgeriaTukishinda mechi ya Leo
Dalili za kupita kama best looser ipo ndio
Sawa diaaaHahaha hahaha hahaha
Hebu kaa utulie ukule bana!


ngapi ngapi?Hatuna bando

.2---1Sawa diaaangapi ngapi?
Hatuna bando.
Yaani hawa ccm wamefanya kila kitu kikawa kigumu.

Kama nakuona huko uliko!
Duh! Really?? Tell me more please na wala usinione mzalendo saaaaaaaaana 🤣🤣🤣🤣🤣nimechoka kuunga juhudi kwa kazima kwenye maisha halisi na huku mtandaoni pia.
Haujui tuu ni kiasi gani leo tulivyoungishwa juhudi kwa kazima na jezi nimenunua![]()
Natetemeka baridi. Nimejifunika gubigubi. Nachatia ndani ya shuka.
Kenya wamejua kuniaibisha![]()






