kawaida tu mbona mkuuGhafla zile neema kwenye nyumba za ibada kutoka kwa watu flani waliokua wakitafuta madaraka zimekoma.
Msimu wa neema na mavuno mpaka 2020.
Nabaki kujiuliza maswali haya;
1. Je kumtolea muumba wako ni mpaka ukiwa na shida ya nafasi flani ya madaraka?
2. Upendo na ukaribu kwa taasisi za Dini ni wakati was chaguzi tu.
3. Mwenyenzi Mungu asubiri mpaka 2020 ndio tumwomeshe namna tunavyojali watumishi na nyumba zake za ibada?
Rai yangu kwa nyumba za ibada na kwa watumishi wa Mungu kww Dino zote kuwakataa watu wore wanaojiweka karibu yao vipindi vya uchaguzi mkuu pekee, haileti picha nzuri kwa wahusika.
Mkuu nimekua tu concerned na wale wanaoonekana kumpenda Mungu ghafla hasa vipindi vya uchaguzi sasa hatuwaoni kabisa.
Huko unakoelekea mkuu unataka hapa pachafuke maana kuna watakaokuja hapa wakidai yale matukio ya yule jamaa yenu nayo yarudiwe, sasa sitaki kuyasema hapa maana unaelewa nini namaanishaZile burdani za push up tulizokuwa tukizipata wananchi zimetoweka ghafla, tunamuomba Mh Magu aendelee kutupatia burudan tumezimis
Ndo Maana nilikupaga taraka nikakutelekezea na watoto.Huwa wanatoa rushwa na si sadaka.
Mkuu matukio yote usiyaseme tu mdomoni weka Na ushahidi hapa, usipoweka utakuwa miongoni mwa mavuvuzela wa LumumbaHuko unakoelekea mkuu unataka hapa pachafuke maana kuna watakaokuja hapa wakidai yale matukio ya yule jamaa yenu nayo yarudiwe, sasa sitaki kuyasema hapa maana unaelewa nini namaanisha