E Enock47 Member Joined Jun 3, 2026 Posts 13 Reaction score 15 Jun 7, 2026 #1 Hivi karibuni tumeshuhudia makundi yakianza kucheza karata. Historia ya CCM ni ngumu VP,PM kushinda mchakato. Je, 2030 wataweza kupita?
Hivi karibuni tumeshuhudia makundi yakianza kucheza karata. Historia ya CCM ni ngumu VP,PM kushinda mchakato. Je, 2030 wataweza kupita?
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,940 Reaction score 38,033 Jun 7, 2026 #2 Mbali na kupita je wata toboa hio 2030 Wakiwa kwenye nyadhifa zao? Vipi wanaotokea pembeni , wakina makamba, riziwan, majaliwa, makonda, team ya mama kule visiwani nk? Ni mtanange .
Mbali na kupita je wata toboa hio 2030 Wakiwa kwenye nyadhifa zao? Vipi wanaotokea pembeni , wakina makamba, riziwan, majaliwa, makonda, team ya mama kule visiwani nk? Ni mtanange .
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,112 Reaction score 126,061 Jun 7, 2026 #3 Inasikitisha sana
P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,289 Reaction score 17,313 Jun 7, 2026 #4 Wampitishe SITI NYAHOZA au jaji MITUNGI maana kawabeba SANA miaka hii 15 bila hawa serikal ya CHICHIEMU ingekuwa jalalani au wampe AIJIPII maana kwenye sanduku la kura amewabeba SANA tena ILE OKTOBOA YA 29 maj wangeita mma
Wampitishe SITI NYAHOZA au jaji MITUNGI maana kawabeba SANA miaka hii 15 bila hawa serikal ya CHICHIEMU ingekuwa jalalani au wampe AIJIPII maana kwenye sanduku la kura amewabeba SANA tena ILE OKTOBOA YA 29 maj wangeita mma