Harakati za pimbi

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,182
Huyu ndio pimbi, pimbi ni kamnyama kadogo kenye harakati nyingi zisizo na maana, yaani yeye yuko busy for nothing,
Pimbi anaweza kutoka speed kichaka kimoja na kwenda kingne pasipo sababu yoyote akaenda kwenye kichaka hicho akashangaa tu na kurudi alikotoka au atatoka speed toka kichaka kimoja na kwenda kingne na akawa anarudia rudia hvyohvyo.. Pimbi.. Mtu akikutukana we pimbi nini aisee pigana kabisa
IMG_20200105_144404.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom