Mkumbo sio adui yangu wala sio saizi yangu kisiasa ni mdogo sana huyo mimi ni kiongozi wa kitaifa na wakubwa zake wananihofia atakuwa huyo? Wa
"Why do we talk of the past" kingereza gani hicho cha anayejiita mchumi daraja la kwanza? Mwigulu nenda English course hujui kingereza kabisa kabisa kama kikwete. Kama English inawapiga chenga tumieni kiswahili acheni kujidhalilisha.Avanti mbona yote ulioandika ni ya kusikia. Huna hata moja la uhakika unakimbilia kuandika? Wewe umesikia ila mimi najua ukweli wa yote. Walimu kyengege unaoambiwa ni 6 wako 12 na moja wa 13 yuko masomoni. Pili diwani wangu jina la INNO ni ubatizo Msengi ndio baba yake Mandi ni jina la utotoni na kapendo babu yake. Hakuna jipya hapo. Kuhusu mfuko nikwambie tunaandaa katiba mpk sasa wala sijasusia. Hatuwezi kuacha kukutana kwa ajili katiba ya umoja haijawa tayari. Mkumbo sio adui yangu wala sio saizi yangu kisiasa ni mdogo sana huyo mimi ni kiongozi wa kitaifa na wakubwa zake wananihofia atakuwa huyo? Why do we talk of the past? Niliialika Simba kwa ajili ya program yangu sio kwa ajili ya mkutano wa upinzani. Niliileta mtibwa mwaka jana, toto africa mwaka juzi. Na februari naileta Yanga. Wa
Nimekuwa nikitafakari kwa kina sasa. Na ninaona kuwa kuna nafasi ninazoweza kufanya kazi vizuri katika Chama Cha Mapinduzi. Nazo ni nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) na nafasi ya pili na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi. Kwamba nafasi hizo zimewekwa watu natamani kuingia kwenye usahili na hao waliowekwa ili nichuane nao kwa hoja na uwezo wa kuzimudu nafasi hizo.
Jaribu kufikiria mtu mwenye kuaminiwa na viongozi wa dola asiyejua asiyejua utawala wa sheria unavyofanya kazi. Mtu kama huyo akishika nafasi ya utawala itakuaje? Mtu unauliza serikali kwa nini haijawafunga watu? Mimi siamini na wala sitaki kuamini kwamba nimesikia hayo yakisemwa na mtu mwenye dhamana kubwa katika Chama. Natamani Mwenyekiti wa Chama anipe nafasi niombe niombe nafasi ya huyo jamaa kwanza.
na bado mtaweseka sana, mwigulu chuma cha moto, mtaimba aleluya humu, yaani tangu jana mwigulu awape ukweli naona ujalala unawaza cha kuandkia jf. Safi mwigulu go go go go go go...........................
"Why do we talk of the past" kingereza gani hicho cha anayejiita mchumi daraja la kwanza? Mwigulu nenda English course hujui kingereza kabisa kabisa kama kikwete. Kama English inawapiga chenga tumieni kiswahili acheni kujidhalilisha.
Huyu kazi yake ni kufumaniwa na wake za watu kama kule igunga ndio maana hata kiingereza kidogo kinamshinda
Huyu kazi yake ni kufumaniwa na wake za watu kama kule igunga ndio maana hata kiingereza kidogo kinamshinda
Mkuu Mwigulu sio saizi yako utaishia kutoka povu tu mfupa uliomshinda Babu utauweza wewe?