Ajikwezaye atashushwa - maandiko ya dini.Mkumbo sio adui yangu wala sio saizi yangu kisiasa ni mdogo sana huyo mimi ni kiongozi wa kitaifa na wakubwa zake wananihofia atakuwa huyo?
wewe ni mbea tu wala hun kazi yoyote,endelea kutumika tu mwisho wako utafika?
Avanti mbona yote ulioandika ni ya kusikia. Huna hata moja la uhakika unakimbilia kuandika? Wewe umesikia ila mimi najua ukweli wa yote. Walimu kyengege unaoambiwa ni 6 wako 12 na moja wa 13 yuko masomoni. Pili diwani wangu jina la INNO ni ubatizo Msengi ndio baba yake Mandi ni jina la utotoni na kapendo babu yake. Hakuna jipya hapo. Kuhusu mfuko nikwambie tunaandaa katiba mpk sasa wala sijasusia. Hatuwezi kuacha kukutana kwa ajili katiba ya umoja haijawa tayari. Mkumbo sio adui yangu wala sio saizi yangu kisiasa ni mdogo sana huyo mimi ni kiongozi wa kitaifa na wakubwa zake wananihofia atakuwa huyo? Why do we talk of the past? Niliialika Simba kwa ajili ya program yangu sio kwa ajili ya mkutano wa upinzani. Niliileta mtibwa mwaka jana, toto africa mwaka juzi. Na februari naileta Yanga. Wa

Nyoa hayo madevu yaliyo kama nyenyere wanakula sukari. Yanakufanya uwe kama savimbi wa porini. Yanakuzidishia nuksi na chuki kwa watu kwa sababu yanashabihiana na hila na ukatili wako. Acha uzushi wa ki pagani unakushushia hadhi na chama chetu.
Upo hapo mtani? Ila nimesema kweli, nyoa madevu bwana, na ujifunze kuwa mkweli na uwe na hekima. Ubabe kwa sababu unatumia polisi na serikali inakulinda, haukupeleki popote zaidi ya kukuchelewesha na kukupa majuto ya maisha!.
Naenda msibani.
Ajikwezaye atashushwa - maandiko ya dini.
Mwigulu yuko juu kisiasa, kiakili na kimkakati. Kumlinganisha na kichuguu kitila ni kama kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro. Mwigulu ni mlima chadema wote wanajua
Avanti mbona yote ulioandika ni ya kusikia. Huna hata moja la uhakika unakimbilia kuandika? Wewe umesikia ila mimi najua ukweli wa yote. Walimu kyengege unaoambiwa ni 6 wako 12 na moja wa 13 yuko masomoni. Pili diwani wangu jina la INNO ni ubatizo Msengi ndio baba yake Mandi ni jina la utotoni na kapendo babu yake. Hakuna jipya hapo. Kuhusu mfuko nikwambie tunaandaa katiba mpk sasa wala sijasusia. Hatuwezi kuacha kukutana kwa ajili katiba ya umoja haijawa tayari. Mkumbo sio adui yangu wala sio saizi yangu kisiasa ni mdogo sana huyo mimi ni kiongozi wa kitaifa na wakubwa zake wananihofia atakuwa huyo? Why do we talk of the past? Niliialika Simba kwa ajili ya program yangu sio kwa ajili ya mkutano wa upinzani. Niliileta mtibwa mwaka jana, toto africa mwaka juzi. Na februari naileta Yanga. Wa
Honestly Mwigulu Nchemba wewe huna hata chembe ya ustaarabu na hilo hata wewe unalijua..Na kwa hakika wewe ni mtu wa kuonywa kwa viboko na sii vinginevyo..unatakiwa kufunzwa nidhamu kama wakorofi wengine..Ningekuwa mzazi wako au ndugu yako ningekuwa nakucharaza viboko kwa kila kosa na upuuzi unaoongea..Mtu mzima mwenye busara hafanyi kama wewe hata kidogo.
Mtu unauliza serikali kwa nini haijawafunga watu? Mimi siamini na wala sitaki kuamini kwamba nimesikia hayo yakisemwa na mtu mwenye dhamana kubwa katika Chama. Natamani Mwenyekiti wa Chama anipe nafasi niombe niombe nafasi ya huyo jamaa kwanza.
Mwigulu yuko juu kisiasa, kiakili na kimkakati. Kumlinganisha na kichuguu kitila ni kama kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro. Mwigulu ni mlima chadema wote wanajua
Mahaba mengine bana!!! Go go go go hata kwenye korongo aende tu?