Harakati za Mwigulu zinavyozidi kumharibia

Harakati za Mwigulu zinavyozidi kumharibia

Mkumbo sio adui yangu wala sio saizi yangu kisiasa ni mdogo sana huyo mimi ni kiongozi wa kitaifa na wakubwa zake wananihofia atakuwa huyo? Wa

Tangu nimekujua leo ndo umesema ukweli....
Kwa hadhi yako na yake, kweli si size yako....!
Yeye si mtu wa siasa za ukanjanja!
Yeye si mtu wa kununua jina la mwenzio shuleni...!
Yeye ni PhD holder kuliko wewe....
Yeye ni mkuu wa Kitivo cha ELIMU chuo kikuu cha DSM (UDSM)...
Kwa siasa kama zako, za kipuuzi; ni kweli Mkumbo kama mtu mnyenyekevu pamoja na elimu yake kuwa juu ya ile ulonayo si size yako...!
Hongera kwa kulijua hilo...!
 
Avanti mbona yote ulioandika ni ya kusikia. Huna hata moja la uhakika unakimbilia kuandika? Wewe umesikia ila mimi najua ukweli wa yote. Walimu kyengege unaoambiwa ni 6 wako 12 na moja wa 13 yuko masomoni. Pili diwani wangu jina la INNO ni ubatizo Msengi ndio baba yake Mandi ni jina la utotoni na kapendo babu yake. Hakuna jipya hapo. Kuhusu mfuko nikwambie tunaandaa katiba mpk sasa wala sijasusia. Hatuwezi kuacha kukutana kwa ajili katiba ya umoja haijawa tayari. Mkumbo sio adui yangu wala sio saizi yangu kisiasa ni mdogo sana huyo mimi ni kiongozi wa kitaifa na wakubwa zake wananihofia atakuwa huyo? Why do we talk of the past? Niliialika Simba kwa ajili ya program yangu sio kwa ajili ya mkutano wa upinzani. Niliileta mtibwa mwaka jana, toto africa mwaka juzi. Na februari naileta Yanga. Wa
"Why do we talk of the past" kingereza gani hicho cha anayejiita mchumi daraja la kwanza? Mwigulu nenda English course hujui kingereza kabisa kabisa kama kikwete. Kama English inawapiga chenga tumieni kiswahili acheni kujidhalilisha.
 
Kuna tetesi magamba wanataka kumpiga chini mwigulu. .juo unaibu katibu maana ana aibisha chama cha magamba kila kikucha.ni kijana wa miaka karibu 50 ila utoto mwingi.
 
Nimekuwa nikitafakari kwa kina sasa. Na ninaona kuwa kuna nafasi ninazoweza kufanya kazi vizuri katika Chama Cha Mapinduzi. Nazo ni nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) na nafasi ya pili na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi. Kwamba nafasi hizo zimewekwa watu natamani kuingia kwenye usahili na hao waliowekwa ili nichuane nao kwa hoja na uwezo wa kuzimudu nafasi hizo.
Jaribu kufikiria mtu mwenye kuaminiwa na viongozi wa dola asiyejua asiyejua utawala wa sheria unavyofanya kazi. Mtu kama huyo akishika nafasi ya utawala itakuaje? Mtu unauliza serikali kwa nini haijawafunga watu? Mimi siamini na wala sitaki kuamini kwamba nimesikia hayo yakisemwa na mtu mwenye dhamana kubwa katika Chama. Natamani Mwenyekiti wa Chama anipe nafasi niombe niombe nafasi ya huyo jamaa kwanza.

Hilo ndilo tatizo kubwa sana la CCM. Nafasi muhimu kama hizo zinazohitaji watu makini na weledi kwaajili ya kukijenga na kukieneza chama zinapewa wapuuzi na wendawazimu ambao kazi yao kubwa ni kukibomoa na kukiabisha chama mbele ya umma. Nafasi hizo kama chama kilikosa watu wenye sifa kwa wakati huo ilikuwa ni bora zingebaki wazi mpaka wanaofaa watakapopatikana kuliko hao hayawani wanaoshikilia nafasi hizo sasa!
 
goliati alijitamba sana enzi za utawala wake, lakini aliangushwa na kijana mdogo sana daudi. tutafakari aya maneno.
 
Mwigulu kiboko yako ni kamanda jesca kishoa...alikutia jamba jamba ukakimbilia hapa jf ukipotomosha kejeli na vitisho....jaribu kumwagia jesca tindikali au utekaji, ung'oaji kucha na utoboaji macho ndio utaona nguvu ya umma itakachokufanya.mwigulu ni hapendeki!
 
na bado mtaweseka sana, mwigulu chuma cha moto, mtaimba aleluya humu, yaani tangu jana mwigulu awape ukweli naona ujalala unawaza cha kuandkia jf. Safi mwigulu go go go go go go...........................

wewe ni yule mtoto wa mwigulu wa igunga wakati wa kampeni za maji taka
 
"Why do we talk of the past" kingereza gani hicho cha anayejiita mchumi daraja la kwanza? Mwigulu nenda English course hujui kingereza kabisa kabisa kama kikwete. Kama English inawapiga chenga tumieni kiswahili acheni kujidhalilisha.

Huyu kazi yake ni kufumaniwa na wake za watu kama kule igunga ndio maana hata kiingereza kidogo kinamshinda
 
Huyu kazi yake ni kufumaniwa na wake za watu kama kule igunga ndio maana hata kiingereza kidogo kinamshinda

Namsikilia hu ruma huyo mwanamke aliye olewa na mwigulu. Ana hasara kubwa ambayo hatoisahau.
 
Mkuu Mwigulu sio saizi yako utaishia kutoka povu tu mfupa uliomshinda Babu utauweza wewe?

Acha kujipendekeza wewe. Kakutuma umjibie? Mwache mwenyewe aje aseme. Mwigulu mwenyewe ananijua na wala hawezi kunitolea maneno ya kiwango chako hayo. Tafuta watu wa daraja lako ndio uongee nao lugha za kiwango hicho.

Na ukitaka kujua mfuate mwigulu pale anapoendaga mara nyingi jioni tutakutana.
 
Back
Top Bottom